Starraw – Bro Code Lyrics

Starraw

Yo yo yo
Skia EMN Beats
Starraw
Hidden Vibes Africa
Yo listen

STARRAW
Bro code, huyu dem ni mhot venye anajiboss ety haingii box
Top dog, mi huchill roof top nikipimia city venye naexpand my potion
No warning instead tunacaution, vacation bado tuko busy na mafassion
Hakuna zogo tukichill ama hustle, niko keja na mdem si ni bro code

STARRAW
Tom boy, a a a a a a alidai hataki chali juu ye ni mtekaji
After initiation, hana feeling juu ya ukeketaji
Respect inafall between 22/23 Chelsea/Arsenali
Hachekeshi, Joho, anadrug Sana ka Hassan Ali

STARRAW
Zikiriet c hupenda tu stori za madubi, ukinihate niondokee sjai kuulza mazuri
Si huzama msitu kwenda hung outs za madubi, waya hoody balaclava kupigana na wayahudi
Mamacita nakupenda but jua kuna limit, ananisho ananimiss lakini daily ako missing
Ziko itchy izi vidole ka john Kiriamiti, roof top na vijiti tukiview izi streeti

STARRAW
Bro code, she no hoe code
So cold, she no hot love
Don’t stalk, on her phone call
That’s all she can say in a hot note

STARRAW
Bro code, huyu dem ni mhot venye anajiboss ety haingii box
Top dog, mi huchill roof top nikipimia city venye naexpand my potion
No warning instead tunacaution, vacation bado tuko busy na mafassion
Hakuna zogo tukichill ama hustle, niko keja na mdem si ni bro code
Si wote hupigwa na baridi, juu mresh ni Tomboy
Ety ye ndo boss smoke city, anarome na convoy
Hii vacation mi nadai tu kuride joy, nadandia zotezote pesa ndo sitoi
Cartoon ama ni kitoy venye naenjoy niko high na mabro hater hapa anabaki hoi

STARRAW
Mresh ako kwangu anadunga toja na vest io si ni kunipora
Movie ni ya porno bado anakaza inabidi tumewatch tu mahorror
Caution ka hunijengi husitokee, lotion inaweza duu chochote
Mi huwa nabribe popote, Pablo husinicompee na Dangote

STARRAW
Husilobe ukwe ka chiloba, ukiwa maji wanadai kukuchota
Alithani mi ni enemy, nikamuokoa kumbe ni fala naona nikimfuliza
Husilobe ukwe ka chiloba, ukiwa maji wanadai kukuchota
Alithani mi ni enemy, nikamuokoa kumbe ni fala naona nikimfuliza

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *