Otile Brown – Mama Lyrics

Otile Brown
Sema mami natamani anga mara moja uamke nikuone
Sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke
Na ina ichoma moyo wangu
Ina ikwaza nafsi yangu
Mana sikupata mda mama yangu
Ya kuomba msamaha wa kosa langu
Sometimes najifunga chumbani mwenyewe
Najiliza kama mtoto
Je unejivunia mimi kua mwanako wewe
Kwenye hii dunia changa moto
Tena bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi
I miss you
Yani leo zaidi ya jana
Hasa siku kama hii
I miss you
Nimejifunga mengi sana toka uniage mama
Mapenzi mwenyewe mama yako
Mungu akupe radhi diama
Kipenzi changing cha moyo
Cha kukulipa sina
Shukrani kwanza kwakunileta hii dunia
Ungeweza kuitoa mimba yangu
Ila ukachagua ni ishi mama
Ninakuonaga unavyojinyima nipate
Izo shida nazishuhuda
Nasijawai kujutia kua mwanao mama
Aaahh mama nataka ujue nashukuru
I love you
Yani leo zaidi ya jana
I love you mama
Na najitahidi sana nikupendeze mama yangu
Na bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *