Ethic Entertainment – Quarantei Lyrics

Ethic Entertainment
(Sanitizer, sanitizer)
Ah, mi hukata makale naongeza na Barley
Ka nina maganji ju niko quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Eh! Wuhan kulikuwanga na na
Busaa tukaisunda kwa mogoka
Dunda tutacheza tu na distance
Dunda tukacheza tu na di

Ye hutoboa ka amevuta koro
Mi humochoa ka amedunga polo
Buda ng\’oa hapo utatoka Ndung\’u
Kumdondoa town kudunga njongo
Ah, mi hukata makale naongeza na Barley
Ka nina maganji ju niko quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Wengi wanakutaka wanakutaka
Bro wangu anakutaka, maarif
Hadi bro wako anakutaka
Unaeza pata hadi babako yukutaka
Ndio sasa nikiwa hapa naomba namba
Sina hata bia kaza kamba
Za gwanda ulisha ni ganga
Tugeuzane baba na mama
Ah, mi hukata makale naongeza na Barley
Ka nina maganji ju niko quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Ndakupikianga fare ndatumanga
Alafu magizani jua ndakumanga
Msupa wa kiwanga cheki amebebanga
Si kidimanga hawezi kupanganga
Baro ikiwaka pandisia adi kaka
Form kujipanga nitoke kwa dimanga
Mapenzi ni ya Ulaya wa area ni malaya
Mapenzi ni ya Ulaya wa area ni malaya
Ah, mi hukata makale naongeza na Barley
Ka nina maganji ju niko quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Quara quarantine, Quara quarantine
Sani-sanitizer, buy sanitizer
Sanitizer, buy sanitizer
(Sanitizer, sanitizer)

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *