Ethic Entertainment – Pandana Remix Lyrics

Ethic Entertainment
Ethic ft Ochungulo family – Pandana Remix
Remix
Alafu mbona jo unatapika na bado hujashiba
Haya basi funguka kama Casina
Mi huskumanga masaa si madakika
Na ka amechapa nitachapanga makalifat
Hizi dhambi nitaziosha ndani ya kanisa
Hapa kazi ni kupeananga mamimba
Ju nakutakanga, ju nadai, ukidai tunapandana
Ngoja kwanza nikuonyeshe bana

Banana, mi nayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh
Alejandro, onyi wa ma bimbo
Zimenishika, zimenishika kama Zzero
Kila 4:20 natinga kilo
Nikiwa ombitho, napenda nginyo
Weak spot yako ni kwa shingo
Unapenda probox ama limo
Chagua moja, leo uingizwe fimbo
Na siweki tint, leo tufungue diro
Banana, mi nayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh
Ako fegi na mandom
Wanaseti na maddam
Alafu akiwa ndani ya zone
Kutupona tu madoh, don
Ndonda anadandia ndae
Ora, ora ndon ndon
Ndonda anachangia ngwai
Oya, oya ndon ndon
Ndonda anakazia ngwai
Oya, oya ndon ndon
Lungula
Pigwa mate shika diaba
Apewe chuma na
Apepetwe apakatwe
Uyu unguna
Kakishika nikachune ka thukuma
Ai ai, aki ya Mungu nitaisukuma
Chora saba mi nadai hiyo huduma
(Hiyo huduma)
Banana, mi nayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh
Piga kuni akiwika design unasimamisha
Uko thutha ni manguna wamejaza tu kibuda
Tia mimba, kalinuka juzi akitinga duka
Na akaiandaa kako doko kipara kama buka
Chambua kagua, usijipate namvua
Darua tarua, na manjiti za mathuba
Shikisha na reggea ikubebe ka mbuda
Msupa mauta, amejaza huko thutha
Banana, mi nayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh
Miti shamba nawatibu niko Loliondo
Na mifuko zikipona para za Livondo
Ndani ya bra, chini ya maji ana majirongo
Ka baloon kupuliza, ndio akajua ni condom
Zimenice niko aire na ka shuga momo
Nilishiba na kuchibo mali za Chiromo
Oya duka wakifunga, tunafika soko
Mjulubeng nayo nayo akipiga domo
Nakapeleka mbanyu nakapiga mausoro
Naka roll-ia baruti ndani ya kikoro
Nakachuna chuna futhi vako za ogoro
Na venye kana kunyi inakaa ni kasoro
Wakiacha fudhi kwa sabuni za mokoro zao
Nawaachia mafudhi ndani ya midomo za waroro wao
Nabakisha nyongi wakinipass izo makoro zao
Banana, mi nayo bas
Tunabakana, hapo nyuma na sidika
Mnafanana, maana kila day bana
Unaitangaza, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana, katangaze basi baby
Si hupandana, panda panda
Si hupandana eeh

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *